UoN-CHIVPR SERVICE CHARTER -KISWAHILI

PDF version

UNIVERSITY OF NAIROBI

COLLEGE OF HEALTH SCIENCES

CENTRE FOR HIV PREVENTION AND RESEARCH

 

CITIZENS SERVICE DELIVERY CHARTER

COMMITMENT TO SERVICE DELIVERY

HUDUMA

MAHITAJI

GHARAMA

MUDA

Kuajiriwa na Kupandishwa vyeo

kwa Wafanyikazi

 

Kutimiza masharti ya Chuo

Kikuu juu ya mahitaji ya

Uajiri na Upandishwaji

vyeo

Hakuna malipo

 

Kuhitimishwa katika kipindi cha wiki kumi na mbili tokea kutangazwa kwa nafasi hadi kutolewa kwa barua

Uajiri au Upandishwaji vyeo

Tathimini za

Utendakazi wa

Wafanyikazi

 

Kujaza form za tathimini

baada ya kuhudumu katika

daraja fulani angalau kwa

miezi sita katika mwaka

kunapofanywa tathimini

Hakuna malipo

 

Kufanywa kati ya mwezi wa Oktoba na Machi kila mwaka

 

Kesi za Nidhamu kwa

Wafanyikazi

 

Kutayarishwa kwa

mashtaka

na tuhuma

Hakuna malipo

Kuhitimishwa katika kipindi cha siku thelethini (30) za utendakazi

Ununuzi wa Bidhaa na Huduma

 

Kupata idhini zinazotakikana,

kuwasilisha bidhaa na

huduma zinazowiana na

thamani kamili ya pesa

zinazolipwa

 

Hakuna malipo

 

 

Kuhitimishwa katika kipindi cha wiki nane (8)

Uhasibu wa Fedha

 

Kuzingatia kanuni na

taratibu za uhasibu za

Chuo Kikuu

Hakuna

malipo

 

Kushughulikia malipo

yaliyoidhinishwa kwa muda usiozidi siku tatu (3)

Kupokelewa kwa simu kwa haraka

katika muda usiozidi

sekunde ishirini (20)

Mawasiliano yote

yatapokelewa na

kushughulikiwa kwa

haraka

Hakuna malipo

 

Simu kujibiwa katika muda usiozidi sekunde ishirini (20)

 

 

UPOKEAJI MAONI NA MAJIBU

Malalamiko, pongezi na mapendekezo yatahitaji kuepelekwa kwa wakuu wa idara

husika, maelezo ya anwani zao yanapatikana katika tovuti ya Chuo Kikuu

www. chivpr.uonbi.ac.ke

 

Rufaa zote kuhusiana na maoni au majibu ziwasilishwe kwa;

The Director,

CENTRE FOR HIV PREVENTION AND RESEARCH

S.L.P.  19676-00200, Naorobi

Barua pepe chivpr@uonbi.ac.ke

Tovuti. chivpr.uonbi.ac.ke

AttachmentSize
CHIPR service chater-Kiswahili.docx34.34 KB
CHIPR service chater-Kiswahili.pdf180.04 KB

Director's Message

 

Click here to read message

News and Events

Contacts

P. O. Box 19676 - 00200NAIROBI
KENYATTA NATIONAL HOSPITAL
Tel: 2726300 Ext. 43673
Fax: 254-020-2720509
Email: info-chs@uonbi.ac.ke

Media Center

Community Outreach

UoN Website | UoN Repository | ICTC Website


Copyright © 2018. ICT WebTeam, University of Nairobi